kiswahili mobility programme 1st cohort (2019/2020) participants

Ulfat is an Assistant Lecturer at Sumait University in Zanzibar, Tanzania. She is currently a PhD student at University of Dodoma in Dodoma, Tanzania. Her specialization is Linguistics and Sociolinguistic in Kiswahili.

VIDEO: Ulfat's Experience

"Caroline is Lecturer at Makerere University Kampala Uganda she was hosted by Kibabii University, Bungoma-Kenya, she engaged her self with fellow Lectures at Kibabii University in the development and use of Kiswahili Academic Writing in collaboration with other Kiswahili lecturers.

ASIIMWE CAROLINE
Lecturer

"Monday is a Presenter at Uganda Broadcasting Corporation (UBC) Uganda also also a lecturer at Ndejje University he has been attached to ITV of Dar es salaam Tanzania

MONDAY GEOFREY AKOL
Presenter
Kandagor ni Mhadhiri Mwandamizi wa Kiswahili Chuo Kikuu Moi-Kenya, Katika Mpango wa Mobility Program Amepata fursa ya Kwenda katika Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda, kushirikiana na wadau kazi ya kuhariri makala za CHAKAMA na CHAKITA.
Dkt. Mosol Kandagor
Mhadhiri

Bi Khadija ni kati ya wadau wa Kiswahili kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Zanzibar. Ana shahada ya uzamili ya Kiswahili kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Katika Programme ya Kiswahili Mobility Bi Khadija alipata fursa ya kupitia na kutoa mapendekezo ya kuborsha mitaala ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha BSU kilichopo Mbarara, nchini Uganda.

VIDEO:Khadija's Experience

"Bi Saade Said Mbarouk ni mhadhiri katika chuo kikuu cha Abdulrahman Al Sumait. Bi Saade Amehitimu ngazi ya uzamili katika Chuo Kikuu cha Dodoma 2011 katika shahada ya (M.A Kiswahili Literature), Na kwa sasa anaendelea na shada ya uzamivu katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA). Katika Mpango wa Mobility Program Amepata fursa ya Kwenda katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojis cha Musinde Muliro Kakamega Kenya Huko ali fanya shughuli kama kufanya mapitio ya mitaala ya kozi za Kiswahili, Ziara za kitaaluma na ufundishaji.

Bi Saade Said Mbarouk
mhadhiri

Bukuru Prosper ni mwana Habari wa Kiswahili katika kituo cha habari cha Radio 'Eagle Sport m Katika Mpango wa Mobility Amepata fursa ya Kwenda Katika Shirika la Habari la utangazaji Uganda Broadcasting Corporation (UBC) uko ata Shirikiana na Wadau Katika Kuhariri Habari Mbali mbali.

Bukuru Prosper
mwana Habari
Riziki Jacob is Kiswahili journalist with Highest Education , English language and literature degree (University of Burundi) works with radio EAG Makamba Burundi East African Kiswahili Commission decided that I be attached to ITV in Dar-es-Salaam, the United Republic of Tanzania for 30 days. He expect to interact with fellow journalists at the Station in the development and use of Kiswahili and to: Learn about their Kiswahili journalism spirit Experiencing the Kiswahili news and emission production, reporting and presentation Identify and adapt to other countries Kiswahili journalistic style, strategies, structures and staff organization
RIZIKI JACOB
journalist

Kubakurungi Abraham Kyangungu is a Lecturer Of Kiswahili And Linguistics At Bishop Stuart UNIVERSITY, UGANDA Studied M.A Linguistics at University of Dar es Salaam and BAED Kiswahili at Makerere University. Participant in Mobility Programme for Kiswahili Commission of EAC 2019 attached to Moi University Eldoret - Kenya, where emphasis will be put on Curriculum review and Academic Programmes Development while Comparing different Kiswahili courses taught at Moi University, their mode of teaching and Curriculum delivery with the aim of improving those at Bishop Stuart University. This Mobility programme will also enhance my skills in understanding and identifying Performance standards that will improve Programme's outcomes, processes and practices to achieve the University's core Objectives.

Kubakurungi Abraham Kyangungu
LECTURER

"Kibigo Mary Lukamika is a Teacher Ebusakami School, Vihiga Kenya Also Works PART-TIME Kiswahili LECTURER at Tom Mboya University College (Maseno University), Jaramogi Oginga Odinga University, Kisii University and Kaimosi Friends University she is Currently pursuing a Ph.D in Kiswahili at Masinde Muliro University of Science and Technology (MMUST) Participant in Mobility Programme for Kiswahili Commission of EAC attached to MS Training Centre for Development Cooperation (MSTCDC) Arusha.

Kibigo Mary Lukamika
teacher

Biraronderwa Chantal, ni Mwalimu wa Kiswahili kwenye Shule ya Sekondari Ya COMIBU- BUYENZI ,Mjini Bujumbura, Amesoma Katika Chuo Kikuu cha Burundi ,kitivo cha lugha na sanaa za kiafrika, Katika Mpango wa Mobility Amepata fursa ya Kwenda Katika Chuo kikuu cha MS Training Centre for Development Cooperation (MSTCDC) Arusha Matrajio yake ni kuzidisha elimu yangu katika lugha ya Kiswahil

Biraronderwa Chantal
Mwalimu
Mutungi Boaz is a Lecturer at the Department of African Languages, Makerere University, and he is currently undertaking a PhD in Kiswahili at the University of Dar es Salaam, Participant in Mobility Programme for Kiswahili Commission of EAC attached to MS Training Centre for Development Cooperation (MSTCDC) Arusha, he will present and/or analyze the data for his PhD research on unyanyasaji wa kiusemi baina ya wanandoa katika tamthilia teule za Kiswahili.
Mutungi Boaz
Lecturer

Moh’d Idrisa Haji ni mwalimu wa lugha ya kiswahili katika skuli ya mtule sekondari Mashariki ya Mji wa Zanzibar, ana Shahada ya Uzamili ya Kiswahili ,Katika Mpango wa Mobility Amepata fursa ya Kwenda Katika Chuo kikuu cha kushirikiana na wenyeji wangu kuendeleza taluma hii ya kiswahili .

VIDEO: Moh’d Experience
Moh’d Idrisa Haji
Mwalimu

"issaac Mumena ni mwandishi wa habari pamoja na mhariri wa michezo katika kanda kwa vyombo vya Radio na Televisheni vya BBC Kampala, Katika Mpango wa Mobility Amepata fursa ya Kwenda Radio Free Africa Mwanza Tanzania Kuhariri Makala Mbali Mbali.

issaac Mumena
mwandishi

Ntahombaye Hussein, ana shahada ya uzamivu ni Mwalimu wa Shule Ya Secondari Ya Tumekuja Katika Mpango wa Mobility Amepata fursa ya Kwenda Katika Chuo kikuu cha kushirikiana na wenyeji wangu kuendeleza taluma hii ya Kiswahili nakufanya Study visit

Ntahombaye Hussein
Mwanabari