The purpose of the assessment activity was to collect and analyse baseline information about the existing capacity in Kiswahili entities in EAC Partner States with a view to finding out their ability and capability to develop and use Kiswahili for sustainable development and regional integration.
Maendeleo na matumizi ya Kiswahili katika elimu ya vyuo
vikuu yana maana kwamba lugha hii inatumika katika jamii
kwa namna kubwa. Lakini ufanisi huu utakuwa mzuri zaidi
iwapo sera muafaka zitaundwa na kutekelezwa kikamilifu
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa makala mbalimbali ambazo zinajadili na
kudhihirisha nafasi ya Kiswahili katika Utangamano wa Jumuiya ya Afrika,Mashariki na namna lugha hii inavyoweza kuchangia upatikanaji wa Maendeleo Endelevu katika ukanda huu. Utangamano na Maendeleo Endelevu ni malengo makuu ya kuundwa kwa Jumuiya ya Afrika
Mashariki.
This Strategic Plan has been developed by the East African Kiswahili Commission to define the direction it will take in the next five years and to act as a guide on how it will travel the journey of executing its mandate in an evolving and dynamic socio-economic and political environment. The Mandate of the Commission is to coordinate and promote the development and use of Kiswahili as a lingua franca and official language in the East African Community (EAC) Partner States in terms of research, teaching, learning and development through policy formulation, knowledge generation and curriculum review and standardization of terminologies